VIDEO | Full Performance Ya Drake Kwenye Billboard Awards

Moja kati ya mtu aliyemake headlines katika Billboard Awards mwaka huu ni pamoja na Drake kujizolea tuzo 13 peke yake kati ya vipengele 22 alivyokuwa akigombea pamoja na The Chainsmokers.

But nimekuletea full Perfomance toka kwa Drake moja kwa moja tokea Gyalchest ikionyeshwa live na kurushwa katika performance pale Billboard 


EmoticonEmoticon