Ed Sheeran Amekanusha Tetesi Za Kwamba Ame Quit Twitter

Hit Maker wa Shape of You amekana tetesi zinazosema kwamba yeye ame quit(amejiondoa)katika mtandao wa Twitter na kwamba hautumii/hauweki active kwa ku update.

Ed Sheeran akiwa anafanyiwa mahojiano na The Sun aliweka wazi na kusema kuwa mitandao yake miwili ipo active ikiwemo Instagram pamoja na Twitter na kwamba kilichopo kwake yeye ni Hatosoma Comment Only na sio vinginevyo.

Kuonyesha hilo na kutoa msisitizo aliweza ku update mitandao yake hiyo ya kijamii ikiwemo Instagram & Twitter kwa kuweka post zenye Caption,"Q magazine is out now. Also loads of Hoo-har about me quitting stuff. I haven't quit anything, I'm just not reading anything, except Harry Potter. Hope everyone had a wonderful July 4th yo"


EmoticonEmoticon