Lil Wayne Amedondosha Ngoma 4 Kwa Mashabiki Zake Zikiambatana Na Ujumbe Huu

Baada ya kukumbwa na mikasa ya kufwatilia Carter V na kuahidi kutoa Album 3 ndani ya mwaka huu ikiwemo Dedication 6,Funeral & Carter V,Hatimaye Lil Wayne amedondosha mizigo mi nne kwa mashabiki na ujumbe kwao

Katika Instagram Lil Wayne ameandika kwa mashabiki zake kwamba,Im STILL trying to fight for my Independence but today Im saying Fuk it and giving all my fans some new music! Thanks for being there and patiently waiting while I endure this fight. #youngmoney #freeC5 LINK IN BIO,”("Bado naendelea kujaribu kupambania uhuru wangu bt Leo nimesema acha niwape mashabiki zangu muziki mpya,Nashukuru kwa uwepo wako na kuwa mvumilivu huku ukisubiri nimalize haya mapambano.")

SIKILIZA NGOMA HAPO CHINI











EmoticonEmoticon