VIDEO | DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION - African Beauty (Clean Version)

Watch African Beauty Video Clean Version By Diamond Platnumz Featuring Omarion
Baada ya video chafu (DIRTY VERSION/EXPLICIT) na comment nyingi za watu kuhusiana na video kufungiwa japo imewekewa umri wa kuitazama katika mtandao wa Youtube by Owner.Right now Diamond ametoa clean version kwaajili ya kuangalia kwa umri wowote na kuonyeshwa kwenye vituo vya television. EmoticonEmoticon