"Nice For What" Yamrudisha Drake Kwenye Chart

Rapper Drake amefanikiwa kumtoa Chaldish Gambino na ngoma yake ya This Is America namba moja katika chart za Billboard na ngoma yake ya Nice For What, kurudi kwa mara nyingine tena nafasi ya juu.

Mara ya kwanza wakati Nice For What inatoka ilifanikiwa kukaa katika namba 1 kwa muda wa Week 5 mfululizo kabla ya Chaldish Gambino kuingia.

Drake anafanya vizuri akiwa kama First Male Hip Hop artist kwa wakati huu mwenye ngoma mbili za solo kwenye chart ya Billboard ndani ya Top 5 ambapo God's Plan ikiwa nafasi ya 3.

Week hii Top 10 katika chart za Billboard Hot 100 upande wa Single Drake ameumiza.Check Top 10 List Below

1. Drake – “Nice for What”
2. Childish Gambino – “This Is America”
3. Drake – “God’s Plan”
4. Post Malone feat. Ty Dolla $ign – “Psycho”
5. Zedd, Maren Morris, & Grey – “The Middle”
6. Lil Baby feat. Drake – “Yes Indeed”
7. Bebe Rexha feat. Florida Georgia Line – “Meant to Be”
8. Ella Mai – “Boo’d Up”
9. Ariana Grande – “No Tears Left to Cry”
10. BTS – “Fake Love”


EmoticonEmoticon