Sababu Za Nicki Minaj Ku Push Album Zipo Hapa.Maamuzi Aliyochukua Yatachukua Muda Mpaka....(VIDEO)

Nicki Minaj’s Queen is coming, but you’ll have to wait a little longer.

June 15 ilitegemewa Album kali ya Baddest Female Nicki Minaj inayoitwa Queen kuingia sokoni lakini imekuwa sio kama ilivyotarajiwa,kutokana na maamuzi aliyoyachukua Nicki.

Nicki Minaj ametangaza sabubu katika mtandao wa Instagram Live na kusema kwamba,"Albamu yenyewe nadhani ninahitaji kuitoa tarehe 10 Agosti,Ninataka kutoa nyimbo ya 2,ambayo I'm really, really excited about,na nataka sasa kuanza kuhesabu rasmi"Akimaanisha baada ya kutoa hiyo nyimbo ataanza kuhesabu siku mpaka album ifikie tarehe ya kutoka.

Na alisema anataka kufanya kitu tofauti sana katika album yake hiyo ambapo atawaalika baadhi ya mashabiki na kusikiliza album yake hiyo.

Taarifa hizo pia ameshare katika account yake ya Twitter na kuandika,"8|10|18 #Queen"Akimaanisha Album itatoka mwezi wa 8 tarehe 10.
TAZAMA VIDEO AKIWA ANATOA TAARIFA HIYO 

A post shared by The Shade Room (@theshaderoom) on


EmoticonEmoticon