Baada Ya Breezy Kucomment Post Ya Boy wa Karrueche, Jamaa Adai Sio Yeye

Baada ya siku ya jana msanii Chris Brown ku comment kwenye page ya mpenzi wa Ex wake ambaye ni Karrueche, Breezy amedai kuwa alikuwa amedukuliwa (hacked) jana kwenye mtandao wake wa instagram. Breezy alimwambia Karrueche kuwa amfunze mpenzi wake (Victor Cruz) kuvaa kwani anaonekana kama mwanamieleka mstaafu!

Status aliyopost Breezy na kusema kwamba akaunti yake imekuwa HackedEmoticonEmoticon