Nipsey Hussle Kutunukiwa Tuzo Ya Heshima BET Awards 2019

Tuzo za 19 za BET kwa mwaka 2019 zimetangaza kwamba tuzo ya Heshima kwa mwaka huu itakwenda kwa marehemu Nipsey Hussle kutokana na mchango na mapenzi aliyoonyesha kwenye game ya muziki pamoja na usaidizi aliouonyesha kipande anachotokea South Los Angeles.

DJ Khaled, YG, na John Legend wataperform ngoma ya Higher kwaajili ya kumuenzi rapa huyo lakini pia  Nipsey ametajwa kwenye kipengelea cha Best Male Hip-Hop Artist.

Tuzo za 19 za BET zinategemewa kufanyika siku ya jumapili June 23 kwenye ukumbi wa Microsoft Los Angeles (LA) 


EmoticonEmoticon