#ENEWS: P Diddy Ameaonyesha Hana Kinyongo Na X Wake Baada Ya Kupewa Mimba

Baada ya Cassie kupata ujauzito na mpenzi wake wa wakati huu 'Alex Fine' rapa Diddy amewapongeza kwa taarifa za Ujauzito huku akimalizia kwa kuwatakia heri na baraka.

Cassie alikuwa mpenzi wa Diddy kwa miaka 11, October 2018 mwimbaji huyo wa Kike aliweka wazi kikomo cha penzi lake kwa Diddy. June 14 Cassie alitangaza rasmi kuwa mjamzito na anatarajia kupata mtoto wa Kike pamoja na mpenzi wake huyo mpya.EmoticonEmoticon