Samsung Fold Simu Ya Kujikunja Kuingia Sokoni Karibuni Hapa

Samsung kwa mara ya kwanza walipata pigo kubwa sana kuputua simu zao za kujikunja zinazojulikana kama Samsung Fold. Hali ambayo ilipelekea mpaka simu hizo kutolewa sokoni na kurudishwa kwa ajili ya marekebisho.

Sasa kumekuwa na sintofahamu kwamba simu hizo zitarudi lini sokoni na kitu kikubwa kilicho kuwa kinasumbua ni kwamba katika simu hiyo kioo chake kilikuwa kinavunjika bila ya sababu kubwa ya msingi. 
Mwezi huu umejulikana baada ya mkuu wa Samsung kunukuliwa akisema kuwa mwezi wa 7 mwaka huu (2019) kuna uwezekano mkubwa sana simu hiyo ikaruidi sokoni.

Kingine ni kwamba kuna ripota (mwandishi wa habari) ambae nae amekiri kuwa kasikia taarifa hiyo hiyo kuhusina na tarehe ya kurejesha sokoni simu hizo


EmoticonEmoticon