#TECHNOLOGY: Tazama iPhone Mpya 11 Na 11 Max

Hizi ni baadhi ya picha zilizosambaa baada ya kuvuja zinazoonyesha simu mpya ya iPhone 11 na iPhone 11 Max zinazozalishwa na kampuni ya Apple.


Hakuna taarifa yoyote iliyovuja ambayo inaongelea simu hiyo kuhusiana na kutoka wakati gani au kampuni hiyo ina mpango gani na simu hizo.Kuna ukweli kwamba kampuni hiyo ikijua product yake 1 imevuja, wanafanya maboresho makubwa na ya tofauti ndipo product hiyo huingia sokoni kwa muonekano mpya tofauti na ule ulioonekana mwanzo.EmoticonEmoticon