Tyga Afanya Ngoma Kwaajili Ya Lil Wayne.Afunguka Alimaanisha Nini.Rapa Micheal Ray Stevenson maarufu kama Tyga ameongelea kuhusu ngoma yake ya 'Lightskin Lil Wayne' iliyopo kwenye album yake mpya ya Legendary.

Akiwa kwenye mahojiano na kipindi cha Tidal'Cartest', T Raw amesema kuwa amefanya na kuupa jina wimbo huo ili  kutoa heshima kwa Mkongwe Lil Wayne, Mtu ambaye amekuwa akimtazama kwa muda mrefu.

Tyga kabla hajasainiwa na G.O.O.D Music ya Kanye West alikuwa chini ya Young Money Cash Money ya Lil Wayne na Birdman.


EmoticonEmoticon