Asilimia
kubwa ya watu hawafahamu faida kubwa iliyonayo pilipili katika mwili wa
binadamu baada ya kuitumia, ila kwa kawaida mwili unao uhitajio mkubwa sana wa
kupata pili pili na inatibu na kufanya kazi kubwa sana katika mwili wa
binadamu.
Pilipili
inayoongelewa ni ile ya kula kwa kuchanganya na chakula unachokula na pia kama
ukichanganya na nyama nadhani unafahamu utamu wake kwa jinsi unavyokuwa.
Zitazame faida 8 za kula pilipili hapo chini.
Zitazame faida 8 za kula pilipili hapo chini.
1. Pilipili
inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu.
2. Ulaji wa pilipili kunaweza kunawasaidia sana watu wanene
(overweight) au wanao ugua ugonjwa wa kisukari.
3. Utafiti huo pia umeonyesha kwamba kawaida ya kula Pilipili
kunaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti na kusawazisha insulini kwa 60%.
baada ya kula chakula.
4. Pilipili husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwenye tezi na
vilevile huwasaidia wagonjwa wa rheumatoid na arthritis kupata nafuu. Vile vile
husaidia kuondoa mkusanyiko wa damu sehemu moja ya mwili.
5. Pilipili usaidia kufungua kwa haraka na kwa ufanisi pua
zilizoziba kwa mafua, kuruhusu kupumua kwa urahisi zaidi!
6. Pilipili pia husaidia kupunguza upatikanaji wa saratani ya
kwenye tumbo (Stomach Cancer)
7. Pilipili usaidia kuongezeka kwa kiwango cha metabolic, ambayo
husaidia kuchoma mafuta, ulaji wa pilipili kunaweza kuinua kiwango na metabolic
yako hadi 23% ndani ya masaa 3.
8. Kula pilipili usaidia kupunguza cholesterol, na kupunguza kiasi
cha fibrin katika damu.
EmoticonEmoticon