Avenger Endgame Yaibuka Kuwa Yenye Kipato Kikubwa Kuliko Zote


Mashabiki wa filamu ya Avengers Endgame  sasa wataweza kuitazama filamu hiyo kwa njia ya kidijitali wakiwa majumbani mwao . Movie hiyo iliyowasilishwa katika kumbi za sinema  mwezi Aprili imeipiku ile ya Avatar na kuingiza kiasi kikubwa cha fedha  kuliko filamu zote katika kumbi za sinema

Filamu hiyo ya  Marvel ni muendelezo wa filamu ya  Avengers: Infinity War (2018), ambapo baada ya  matukio ya kuogopwa ulimwengu umetumbukia katika mgogoro mkubwa . Kwa usaidizi wa washirika wake  Avengers wameungana  kwa mara nyingine tena  ili kubadilisha vitendo vya Mhusika Thanos  na kurejesha  usanifu duniani .


EmoticonEmoticon