#ENEWS:Chris Brown Atoa Shukrani Baada Ya Jambo Hili Kubwa Kufanikiwa

Msanii Chris Brown ametoa shukrani kwa mashabiki pamoja na mtandao wa Billboard baada ya album yake, Indigo kufanikiwa kuingia nafasi ya 1 katika chart 200 za album bora kwa mauzo ya week ya kwanza ambayo yamegonga 108,000.
Breezy ametumia mitandao yake ya kijamii kutoa shukrani hizo.
Indigo album imecontain ngoma 32 na imeshirikisha wasanii wakali kama Drake, Nicki Minaj, Lil Wayne, Tyga, Tory Lanez na wengine.

 Top 10 Album Ndani Ya Billboard Week Hii
BILLBOARD 200 TOP 10
1. Chris Brown – Indigo – 108,000
2. Lil Nas X – 7 – 62,000
3. Billie Eilish – When We All Fall Asleep, Where Do We Go? – 52,000
4. The Black Keys – Let’s Rock – 52,000
5. Chance the Rapper – Acid Rap – 40,000
6. Khalid – Free Spirit – 38,000
7. Lizzo – Cuz I Love You – 36,000
8. Mustard – Perfect Ten – 36,000
9. J Balvin and Bad Bunny – Oasis – 36,000
10. Jonas Brothers – Happiness Begins – 29,000


EmoticonEmoticon