ENEWS:Diamond Platnumz Athibitisha Tanasha Ana Ujauzito Wake (PICHA)


Msanii Diamond Platnumz amethibitisha kuwa mpenzi wake Tanasha Donna ana ujauzito wake na jinsia ya mtoto huyo ni wa kiume kwani tayari walishaenda kufanya checkup ya vipimo.

Diamond ametumia picha walizopiga tarehe ya kuzaliwa ya mpenzi wake huyo siku ya July 7 na kuweka kwenye akaunti yake ya instagram na caption inayosomeka, "Alhamdulilah, it's a BOY! 👶 @tanashadonna ❤...."
Tanasha Donna amesheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na B Sadra ambaye ni mama yake Diamond Platnumz ambapo shughuli maalumu ilifanyika Mlimani City Jijini Dar es Salaam na kupewa jina la The Great Gastsby.


EmoticonEmoticon