#ENEWS:Mikanda 20 Ya Ngono Ya R Kelly Yapatikana

July 11 Alhamis R. Kelly alifikishwa mahakamani kujibu mashtaka 13 yakiwemo ya ngono kwa watoto wadogo na mengine.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa timu ya wapelelezi wa mjini Illinois umeipata mikanda 20 ya ngono ambayo inamuonesha Kellz akifanya mapenzi na wasichana hao wadogo. Mikanda hiyo inasemakana kuwasilishwa na watu wake wa ndani wakiwemo wa sasa na wafanyakazi wake wa zamani.

Vithibitisho hivyo kuna uwezekano mkubwa vikamweka msanii huyo matatani zaidi


EmoticonEmoticon