#ENEWS:Rapa Soulja Boy Aachiwa Huru

Soulja Boy is a free man & He's Back on the Streets. Rapper Soulja Boy ameachiwa huru baada ya kutumikia kwa miezi mitatu katika jela ya Los Angeles (LA)

Soulja ameachiwa usiku wa kuamkia July 15 ikiwa ni siku 146 kabla ya kukamilisha kifungo chake cha siku 240 Jela alichohukumiwa mwezi April kwa kosa la kuvunja masharti ya muda wa Uangalizi. 

Imeripotiwa kuwa sababu ya kuachiwa huru ni kutokana na tabia njema.


EmoticonEmoticon