Gareth Bale Anaondoka Real Madrid


Mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale anajiandaa kujiunga klabu ya China ya Jiangsu Suning kwa mkataba wa miaka mitatu.
Watu walio na uhusiano wa karibu na mchezaji huyo raia wa Wales aliyevunja rekodi ya ufungaji mabao wamethibitisha ripoti hizo nchini Uhispania mpango hjuo haujakamilika reports in Spain that although Bale yuko ''karibu sana'' kuondoka.
Meneja wa Real Zinedine Zidane aliwahi kusema kuwa Bale, 30, ''anakaribia kuondoka'' bada ya kumuacha nje ya kikosi kilichochuana na Bayern Munich katika mechi ya kabla ya kuanza kwa msimu abapo walifungwa mabao 3-1.
Zidane aliongeza kuwa kuondoka kwake "kutakuwa na na manufaa kwa kila mtu".
Ripoti zinaarifu kuwa uhamisho wa Bale kwenda China utamwezesha kulipwa euro milioni moja kwa wiki.


EmoticonEmoticon