Jurgen Klopp Atwaa Taji La Mkufunzi Bora Wa Mwaka


Mkufunzi wa Liverpool ya Uingereza, Jurgen Klopp ametwaa taji la mkufunzi bora wa mwaka nchini Ujerumani baada ya kuwaongoza Liverpool kwenye fainali za ligi ya mabingwa barani ulaya.

Klopp amekuwa mkufunzi wa kwanza asiyefanya kazi nchini Ujerumani kutwaa taji hilo mara tatu ndani ya maisha yake ya soka. Klopp amekuwa mkufunzi wa pili katika historia ya Ujerumani kushinda taji hilo mara tatu baada ya Felix Magath.


EmoticonEmoticon