Mara nyingi mitafaruko na kutokuelewana katika
mahusiano huwa hakukwepeki hata iweje, hivyo endapo itatokea kutokuelewa katika
mahusiano yenu, yaani mpenzi wako amekasirika basi unatakiwa kuzingatia
mambo yafuatayo ili kuleta maelewanao;
Mpunguze mhemko.
Mpunguze mhemko.
Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu.
Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la
tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi
tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano.
Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona mshindi.
Msome saikolojia yake
Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira.
Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine
hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za
mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa
kimapenzi. “J, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya
kwa kosa ambalo sikufanya?” Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko
ungebishana naye alipokuwa na hasira.Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona mshindi.
Msome saikolojia yake
Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira.
Mruhusu akujibu
Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa
yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. “Unaona
bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.” Usisiseme hivyo,
mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea
ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake.
Epuka malumbano
Epuka malumbano
Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu
kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu
wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena.
“Kwa hiyo ulikuwa unasemaje…nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano.
Muombe msamaha
“Kwa hiyo ulikuwa unasemaje…nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano.
Muombe msamaha
Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa
kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya
kumazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa,
bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. “Mpenzi inawezekana
nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane
EmoticonEmoticon