Mambo 10 Ambayo Wanawake Wamewazidi Wanaume

Kwenye mahusiano/mapenzi kuna mambo mengi sana ambayo wapenzi hupitia ila kuna mambo mwanaume inabidi akubali kwamba wanawake wamewazidi japo na wanaume wanayo waliyowazidi wanawake.

Kwa upande wa wanawake imeonekana kwamba siri kubwa wanakuwaga wamebeba wao ambazo zinaweza zikapindua familia au kujenga lakini kwa mwanaume mambo yao huwa yanaweza kumalizika bila mzozo mkubwa.

Kama upo kwenye mahusiano au unategemea kuwa kwenye mahusiano ni muhimu ukayafahamu mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume ila sio wote lakini kwa takwimu inaonyesha ni asilimia kubwa yao.

1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda NaWakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi KwaSiku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa MaraNyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa KubadilishaTabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi NaKupendeza Bila Kuwa Na Kazi WalaBiashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria WakitakaKutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Wanapenda pesa


EmoticonEmoticon