#SPORTS: Antoine Griezmann Asajiliwa Barcelona Kwa Kitika Kirefu Zaidi (VIDEO)

Miamba ya soka Uhispania klabu ya Barcelona imemsajili msahmbuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann kutoka klabu pinzani ya Atletico Madrid kwa kitita cha euro milioni 120.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 28 alikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kilichonyakua kombe la dunia mwaka jana.
Griezmann ameingia mkataba wa miaka mitano na Barcelona ambao umeweka sharti la euro milioni 800 kwa klabu yeyote itakayotaka kumng'oa Nou Camp.
Mshambuliaji huyo machachari alijiunga na Atletico akitokea Real Sociedad mwaka 2014 na ameifungia Atletico magoli 133 katika michezo 256.

TAZAMA VIDEO INSTAGRAM HAPO CHINI

👋 Oh hey there, @antogriezmann 😏 Bienvenido a Barcelona😊 Benvingut a Barcelona☺ 🔵🔴 #ForçaBarça

523.4k Likes, 4,638 Comments - FC Barcelona (@fcbarcelona) on Instagram: "👋 Oh hey there, @antogriezmann 😏 Bienvenido a Barcelona😊 Benvingut a Barcelona☺ 🔵🔴 #ForçaBarça"


EmoticonEmoticon