#SPORTS:Algeria Kutinga Final Afcon 2019

Algeria wameibuka washindi baada ya kuwapiga Nigeria goli 2 kwa 1, ambapo hatua hiyo imewapelekea kutinga katika fainali za Afcon 2019.
Katika dakika ya 94 Mahrez anaipa Algeria ushindi na kutinga fainali ya AFCON 2019 kwa kuimegua Nigeria dakika ya mwisho kabisa.
Final Itawakutanisha ALGERIA vs SENEGAL ndani ya uwanja wa Cairo Stadium tarehe 19/07/2019 siku ya ijumaa usiku.


EmoticonEmoticon