#SPORTS:Kitita Kilichowekwa Na Barcelona Ili Kumsajili NeymarBarcelona wamewasilisha ofa ya pauni milioni 90 kwa kiungo wa PSG Neymar.
Klabu hiyo ya La Liga imeipa PSG orodha ya wachezaji 6 ambao huenda wakajumuishwa kwenye mkataba huo, wakiwemo Philippe Coutinho, Ousmane Dembele, Ivan Rakitic, Nelson Semedo, na Malcom. Mchezaji wa sita bado hajulikani ni nani.
Inaaminika kwamba klabu hiyo ya Ufaransa inataka zaidi ya pauni milioni 200 kwa mchezaji huyo wa miaka 27. PSG ilimsajili Neymar kwa kitita cha pauni million 200 kutoka Barcelona mwaka wa 2017.


EmoticonEmoticon