#SPORTS:Real Madrid Hawamtaki Tena Neymar, Wamtaka Mbappe

Real Madrid imetupilia mbali nia yao ya kumsajili mshambulizi  Neymar Junior, kutoka PSG. Miamba hao wa Uhispania walikua wanamtaka mchezaji huyo huku raisi wa klabu Florentino Perez akidai kumleta ugani  Bernabeu.
Hata hivyo Madrid wamejiondoa katika mbio za kumsajili kwani mahasimu wao Barceona pia wanamdai. Kulingana na ripoti kutoka Uhispania, Los blancos badala yake wanataka kumsajili Kylian Mbappe kutoka PSG.


EmoticonEmoticon