#SPORTS:Zitazame Jezi Mpya Za Manchester City (PICHA)

Manchester City inasema sare yake mpya "inatatiza, inavutia na inathubutu". Ina rangi za kuvutia bila ya shaka, baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii wanasema inaonekana kama iliyomwagiliwa kinywaji, wengine wakisema inakaa kama pipi.EmoticonEmoticon