VIDEO | Tanasha Donna - Nah Easy (Official Video)

Watch/Download Nah Easy Video By Tanasha Donna 

Tanasha Donna toka Kenya ambaye ni mchumba wa msanii maarufu kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ameachi video ya wimbo wake mpya wa pili, 'Nah Easy' ikiwa ni baada ya wimbo wake wa kwanza Radio kufanya vizuri.Take tym kuitazama video hii hapo chini.Enjoy
 DOWNLOAD VIDEO|MP4

DOWNLOAD AUDIO|MP3


EmoticonEmoticon