VIDEO | Whozu- DOKO (Official Music Video)

Watch/Download Doko Video By Whozu 

Msanii wa muziki ambaye pia ni mchekeshaji kutoka Tanzania, Whozu ameachia video ya wimbo wake mpya kwa jina DOKO chini ya lebo mpya, ‘Too Much Money’.

Katika video ya wimbo huo, mrembo Tunda ameonekana kutumika kama video vixen baada ya uvumi wa wiki kadhaa kuwa mrembo huyo na msanii Whozu ni wapenzi.

DOWNLOAD VIDEO|MP4

DOWNLOAD AUDIO|MP3


EmoticonEmoticon