Nyimbo Na Wasanii Walioshirikishwa Kwenye Album Mpya Ya Rick Ross

Baada ya rapper Rick Ross kutangaza ujio wa Album yake ya kumi ‘Port of Miami 2’ambayo inatarajiwa kuachiwa rasmi August 9,2019 sasa amedodndosha majina ya wasanii watakosikika kwenye Album yake hiyo ikiwa pia ni muendelezo wa Album ya‘Port Of Miami’ iliyotoka 2006.

Album ya ‘Port of Miami 2’ in a jumla ya ngoma 15 ikijumuisha kolabo kibao ikiwemo ngoma aliyofanya na Marehemu Nipsey Hussle ‘Rich Nigga Lifestyle’ pamoja na mwimbaji Teyana Taylor na wakali engine watakaosikika ni Meek Mill, Denzel Curry, mkali Drake, Ball Greezy, Dej Loaf, Swiss Beatz, Jeezy  na wengine kibao.


EmoticonEmoticon