Paulo Dybala Anukia Tottenham

Mshambulizi wa Juventus Paulo Dybala huenda akakamilisha uhamisho wake kwenda Totenhama Hotspurs kwa ada ya millioni 65. 
Dybala mwenyi umri wa 24 anatarajiwa kufika jijini London hii leo kwa ajili ya kutia sahihi mkataba wake.
Awali, Dybala alisemekana kuwa tayari kujiunga na Manchester United kwenye dili iliyokuwa inamhusisha Romelu Lukaku kujiunga na mabingwa hao wa Italia. Hata hivyo, inasemekana kuwa huenda kukawa na mzozo kwenye mauzo ya picha zake Dybala na Totenham.


EmoticonEmoticon