Rick Ross Ampiga Dongo 50 Cent, "...Kwa Sasa Hapana..." (VIDEO)

Rick Ross amelifufua bifu lake na 50 Cent, ni kwenye mahojiano na Big Boy Neighbourhood.

Baada ya kuulizwa kama yupo tayari kufanya kazi na 50 Cent kwa sasa Rozay alisema, hapana kwa sababu 50 Cent wa sasa sio mkali kama wa zamani hivyo hawezi kufanya naye wimbo.


"Kiukweli mimi ni Mfanyabiashara, Kama 50 Cent angekuwa na thamani kama zamani ningefanya lakini kwa sasa hapana." Alisema Rick Ross huku akicheka. Dongo hilo lilimfikia 50 Cent ambaye aliiambia Complex kuwa haoni thamani ya Rick Ross kwenye huu muziki kwa sasa na hawezi kufanya naye ngoma kamwe.

#PressPlay: Oop! #RickRoss speaks on his former beef with #50Cent 👀 Y'all think he was throwing shade or just being honest? 👀👀 (📹: @bigboysneighborhood)

46.7k Likes, 5,222 Comments - The Shade Room (@theshaderoom) on Instagram: "#PressPlay: Oop! #RickRoss speaks on his former beef with #50Cent 👀 Y'all think he was throwing..."


EmoticonEmoticon