The Game Aitaja Tarehe Ya Kuachia Album Ya Born To Rap

The Game alitangaza kuumaliza muziki wake kwa album yake "Born 2 Rap" ambayo ni ya 9 na itakuwa ya mwisho katika maisha ya muziki. 
Mkali huyo wa Compton ameitumia instagram kuweka wazi kwamba mzigo huo utadondoka mwezi October mwaka huu.

Album hii ni ya kwanza kwa Game tangu "1992" ya mwaka 2016. Ndani alitaja uwepo wa vichwa kama Ed Sheeran, Meek Mill, 21 Savage, Migos na wengine.


EmoticonEmoticon