The Weekend Na Bella Hadid Wabwagana

Msanii maarufu wa Pop The Weeknd ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu Bella Hadid ikiwa ni mara ya pili baada ya kurudiana.Ripoti hizo zimetolewa na mtandao wa TMZ.

Sababu ya kuachana kwao muda huu imetajwa kuwa ni Umbali, kutopata muda wa kuwa pamoja kwa muda mrefu kutokana na ratiba zao.


EmoticonEmoticon