AUDIO | Shilole - Sitaki Mazoea (Rostam Diss)

Sitaki Mazoea Cover
Listen/Download Sitaki Mazoea By Shilole Mp3

Hii imekuja baada ya Line inayopatikana kwenye ngoma ya Kijiwe Nongwa ya Roma na Stamina (Rostam) unaosema, Stamina, "Vipi dada yetu wa Igunga, simwoni udangani", Roma, "Aah mbona ashapata mchumba, sio vibenteni wa zamani!! Yule Fundi gereji.....si kamteka bibiye na wamefungua mgahawa, yaani wote mama nitilie".

Shilole hakupendezwa na hiyo Line so akaamua kuachia kipande kidogo cha video wakila ukoko na hii diss ya wimbo wa sitaki mazoea.Isikiliza na ku download. 


EmoticonEmoticon