Chris Brown Kusimamia Harusi Ya Davido

Davido & Breezy
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria David Adeleke alimaarufu Davido, ambaye siku za nyuma alitioa taarifa kwamba atafunga ndoa na mchumba wake Chioma mwaka 2020.

Davido kupitia ukurasa wake wa Tweeter ametupa taarifa kwamba Chris Brown amependekeza kuwa mpambe wake siku ya harusi yaani (Best man) kwenye siku yake hiyo kubwa na ya kihistoria. Kuanzia Kanisani hadi ukumbini bega kwa bega.
Davido Tweet
Maneno ya Davido yanasomeka hivi:-  “Chris amesema anataka kuwa mpambe wangu, hebu fikiria unamuona Chris kwenye vazi maalum la heshima.


EmoticonEmoticon