Davido Amvisha Pete Ya Uchumba Mwanadada...(VIDEO)

Davido amvisha Pete Chioma
Ahadi ya Davido kufunga ndoa na Chioma mwaka 2020 inaenda kutimia, usiku wa kuamkia November 13 msanii huyo wa Nigeria amemvisha Pete ya uchumba mpenzi wake huyo wa muda mrefu. 
Davido Na Chioma
Kupitia akaunti yake ya instagram msanii huyo ameonyesha kufurahishwa na kauli ya, 'Yes' toka kwa  mwanadada Chioma ambayo imefanya afanikishe tukio hilo.
Davido Instagram Post
TAZAMA VIDEO VIA INSTAGRAM

CONGRATS @davidoofficial & @thechefchi LOVE YOU FOR LIFE !!!!! My Hands Still Shaking 😂 ❤️❤️❤️❤️❤️

26.1k Likes, 1,095 Comments - HUNCHO VIBES (@peruzzi_vibes) on Instagram: "CONGRATS @davidoofficial & @thechefchi LOVE YOU FOR LIFE !!!!! My Hands Still Shaking 😂 ❤️❤️❤️❤️❤️"


EmoticonEmoticon