Ijue Taarifa Mpya kutoka kwa David Bekham

Nahodha wa zamani wa England David Beckham amepanga kuwa wakala wa soka - huku mshambuliaji wa United Mason Greenwood, mwenye umri wa miaka 17, akiwa na uwezekano wa kuwa mteja .

Kwingineko
Manchester United wanapanga kumnunua mshambuliaji wa Ufaransa Moussa Dembele, mwenye umri wa miaka 23, ambapo wametuma ujumbe wake kumfuatilia mchezaji huyo katika mechi tatu.
Fulham wanataka fidia ya pauni milioni 7 kutoka Liverpool baada ya kiungo wa kati Harvey Elliott mwenye umri wa miaka 16 kujiunga na Reds msimu huu.


EmoticonEmoticon