Justin Bieber Atembea Na Drip, Maradhi Yazidi Kumwandama

Justin Bieber
Afya ya Justin Bieber bado inatetereka. Sasa kuelekea kukamilisha kiapo cha milele na Hailey Baldwin, mwimbaji huyo ameonekana akitembea na Drip (Portable IV Drip) mkononi ambayo husaidia kurudisha nguvu za mwili, kuimarisha misuli na kusukuma vitamini mwilini.
Justin Akiwa kwenye Mizunguko yake na Drip kwenye Begi

Aina hiyo ya Drip pia husaidia kukata hangovers lakini pia husaidia kuamsha kinga za mwili na kuondoa msongo wa mawazo.


EmoticonEmoticon