Kesi Ya Neymar Dhidi Ya Barcelona Yanguruma

Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, mwenye umri wa miaka 27,amewasili nchini Uhispania kwa ajili ya kesi dhidi ya klabu yake ya zamani Barcelona juu ya kusaini mkataba usio na malipo kuhusu faida.

Kwingineko

Barcelona na Atletico Madrid watakata rufaa juu ya uamuzi wa kuitoza faini Barca euro 300 (£265) kutokana na namna walivyowasiliana na mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann alipokuwa Atletico


EmoticonEmoticon