Chukua kipodozi chako angalia kwenye lebo na tafuta
sehemu iliyoandikwa INGRIDIENTS au CONTENTS, soma kemikali
zilizoandikwa hapo zipo kemikali nyingi hatarishi mara nyingi huwa Hyoquinone
ambayo huandikwa (Hydoq.2%) na mercury.
Vipodozi hivyo vinaweza kuwa losheni, pafyumu, poda au spray za mwili.
VIAMBATA VINGINE VILIVYOPIGWA MARUFUKU KATIKA
VIPODOZI’;
1. Bithionol
2. Hexachlorophene
3. Mercury compounds
4. Vinyl chloride
5. Zirconium – containing complexes in aerosol products
6. Halogenated salicylanilides (di-, tri- metabromsalan and tetrachlorosalicynilide)
7. Chloroquinone and its derivatives
8. Steroids in any proportions
9. Chloroform
10. Chlofluorocarbon propellants (fully halogenated chlorofluoroalkanes) in cosmetic aerosol products
11. Methyelene chloride

EmoticonEmoticon