Pogba Kuchukua Hatua Ya Kuondoka Man U

Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 26, atachukua hatua mpya ya kuondoka mwezi Januari. 
Kwingineko
Mkuu wa zamani wa Chelsea na Manchester United Peter Kenyon ameanza mchakato mpya wa kuinunua Newcastle kwa ushirikiano na mkewe kwa kumlipa mmiliki wake Mike Ashley pauni milioni 125 kwanza .
Mkataba wa ununuzi huo unadai kuwa meneja wa Newcastle manager Steve Bruce amepata mafanikio "yasiyoweza kulinganishwa Ulaya "


EmoticonEmoticon