Rapa J Cole Hatotaka Tena Kazi Za Kushirikishwa Baada Ya Hili

Rapper J.Cole
J. Cole ametangaza Colabo yake ya mwisho. Amesema wimbo aliofanya na Kundi la Hip Hop - Gang Starr Family AndLoyalty ndio wa mwisho kwake kushirikiana tena.
J Cole Twitts
“This is the last feature you’ll hear from me” ali-tweet Cole na kumaliza kwa kuwashkuru wote waliowahi kufanya kazi pamoja.


EmoticonEmoticon