VIDEO | Rick Ross - Gold Roses ft. Drake

Watch/Stream Gold Roses Video By Rick Ross Featuring Drake

Wimbo wa mwisho namba 15 unaopatikana ndani ya album ya Rick Ross Port Of Miami II. Ndani ya video hajaonekana Drake jambo ambalo halijapata majibu kuhusiana na rapa huyo kutokuonekana kwenye video yake wakati Bowse alionekana kwenye Money in the Grave.Itazame video hapo chini.EmoticonEmoticon