Kesi Ya R Kelly Yaendelea Kunguruma, Anyimwa Dhamana

Jumatano ya October tatu Jaji wa mahakama mjini New York Ann Donnelly aliifikia maamuzi ya kutupilia mbali ombi la Kelly la kuachiwa kwa dhamana kwa maelezo kwamba kufanya hivyo kuna hatarisha usalama wa mashahidi na pia huwenda akatoroka.

Hivyo nguli huyo wa muziki wa R&B ataendelea kubaki Jela hadi Mei 18, 2020 ambapo Shauri lake limetajwa kusikilizwa tena. Lakini pia kushindwa kwake kuhudhuria Kortini mjini Brooklyn ambapo pia ana mashtaka hayo hayo kutamfanya afike tena mahakamani April 27, 2020.


EmoticonEmoticon