Lil Nas X Ashtua Mashabiki Kwa Taarifa Ya Kusikitisha Aliyoitoa

Lil Nas X ambae headlines zake nchini marekani zilijulikana baada ya kuachia hit single iitwayo Old  Town Road ambayo ilimpa nafasi mpaka kutumbuiza katika utoaji wa tuzo za BET 2019.
Sasa akiwa amepata umaarufu mkubwa na kuweka rekodi nzuri ambazo hazijawahi kufikiwa na msanii yoyote duniani star huyo ametangaza kupita ukurasa wake wa twitter kuchukua mapumziko ya Muziki. 
Staa huyo alisema kuwa baada ya miezi 7 ya umaarufu mkubwa kupitia hit single ya Old Town anataka kumpuzika kidogo.
Mashabiki wa muziki wameumizwa na taarifa hizo wengi wakimtaka msanii huyo kutengua maamuzi aliyoyatoa.
Lil Nas X Tweet


EmoticonEmoticon