Ole Gunnar Anaamini Akimsajili Huyu Toka Barcelona Ataifufua Man U

Ole Gunnar Solskjaer anataka kumsajili mshambuliaji wa Barcelona na Ufaransa Ousmane Dembele, 22, kama sehemu ya kufufua kikosi cha Manchester United.
Ousmane Dembele
Pia wanaendelea kumfuatilia kiungo wa klabu ya Leicester na timu ya taifa ya England James Maddison, 22, ambapo wanaweza kumsajili kwa pauni milioni 80.


EmoticonEmoticon