CNN Imetoa Top 10 Ya Mastaa Wa Muziki Africa

Kituo kikubwa cha Televisheni CNN (Cable News Network) kimetoa orodha ya wanamuziki 10 wanaofanya vizuri kwa Bara la Africa.

Diamond Platnumz ameweza kuiwakilisha vyema Tanzania kwa kuingia kwenye orodha hiyo akikamata nafasi ya tatu.

Burna Boy toka Nigeria ndiye msanii mkubwa zaidi Africa aliyeongoza kwa kushikilia nafasi ya kwanza.

Orodha Nzima Ipo Hapo Chini.
1. Burna Boy.
2. Angelique Kidjo
3.  Diamond Platnumz.
4. Yemi Alade
5. Tiwa Savage.
6. Wizkid
7. Mr.Eazi
8. Sho Madjozi
9. Busiswa Gqulu
10. Mwila Musonda.


EmoticonEmoticon