French Montana Atoa Taarifa Za Hali Yake Baada Ya Kulazwa Hospitalini Kwa Muda Wa Wiki Moja

Rapper French Montana bado yupo hospitali kwa matibabu kutokana na kupata matatizo ya afya wiki iliyopita

Akiwa bado yupo Chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku ya 7 leo madaktari bado wanapambana kurejesha afya yake.

Nov 26 Jumatatu aliutumia ukurasa wake wa twitter kututaarifu kwamba "6 days in ICU" na kuambatanisha na emoji ya maombi. 

Montana alikimbizwa hospitali wiki iliyopita kwa matatizo ya maumivu makali ya tumbo, kichefuchefu na mapigo ya moyo kuongezeka.


EmoticonEmoticon