Jay-Z Afungua Mashtaka Kisa Kitabu Cha Watoto

Jay-Z ameripotiwa kuifungulia mashtaka kampuni moja ya nchini Australia ambayo imetumia kazi yake pasina idhini yake.

Jumatano (Nov. 27) BBC News waliripoti kwamba Hov amefunguka shauri hilo dhidi ya kampuni hiyo kwa kuandika mistari ya wimbo wake "99 Problems" kwenye chapisho la Kitabu chao cha watoto kiitwacho AB to Jay-Z, wameandika;

"If you're having alphabet problems I feel bad for you son, I got 99 Problems but my ABC's ain't one!" ilisomeka description ya Kitabu hicho ambacho kimeandikwa maalum kuwajenga watoto kuzifahamu alphabet.


EmoticonEmoticon